Ushauri;she is very bright lakin hajui mapenzi

mtaka yote hukosa yote. Katafute viuno na sauti za kuigiza ila utalipia kwa vizinga kila siku. Kama ana uke na wewe unafika mshindo, that is all you need vingine ni mbwembwe tu.
 
Duu
 
Bora uyo wa kwako. Mi ninaye miaka 8. Sifa zote anazo kasoro kitandani. Kufanya naye mapnz utazani namtoa bikira kila siku. Yan usumbufu tu. Nimeamua kutafta mchepuko
 
Tuwasiliane pm unipe nimfundishe ajapita unyago huo,nipe nikae nae miezi Sita hakika utojuta.
 
Huyo mkumbatie na umfiche kabisa. Namaanisha umuoe mapema.
Mungu hawezi mkamilishia yote kwa pamoja.

Hayo mahaba mbona yanafundishika tu brother.
 
mtaka yote hukosa yote. Katafute viuno na sauti za kuigiza ila utalipia kwa vizinga kila siku. Kama ana uke na wewe unafika mshindo, that is all you need vingine ni mbwembwe tu.
Hahaaa ngoja Nikaze moyo ila wanaume tunavumilia ving
 
Mkuu, mlete kwangu nimpe tuition, nauhakika atakufaa baada ya kumaliza mhula mmoja.
 
Huyo sasa ndo mwanamke...
Feedback ya kitandani ya nini, wakati una mtu mwenye IQ na anakupenda.
 
Yahn wewe kweli mshamba wa mwisho ....kwani utamu unapata upati..mfundishe unavyotaka akufanyia....sasa muache katafute wenye viuno vingi wanajua kuruka sama soti.uone unavyokufa masikini alafu hapo wajuaji hao Mara nyingi msingi ndio unakuwa hiyo k yake hivyo atajitahodi kila siku kukupa mambo mapya kazi kwako.....uzuri wa mwanamke upo kichwani sio chini kwenye papuchi ....utachelewa brother na uchumi huu wa uncle magu
 
Romance ndo kitu pekee kinachochochea maumivu makali ukiachwa... Mi nataka asiyejua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…