Ushauri;she is very bright lakin hajui mapenzi

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
3,354
Reaction score
5,006
Habari yenu wakuu?
Ni miezi 6 imepita tangu niingie kwenye mapenzi na huyu binti,kimwonekano ni mrembo wasura na umbo pia ,rangi nyeupe mtoto amebarikiwa ,ndani ya kipind nilichokuwa nae nimegundua kua ni kati ya mwanawake wachache wenye IQ kubwa ya maisha ,anapambana sana kutafuta life nahis akiwa shemeji yenu au wifi yenu ntajenga ghorofa sio mda mrefu coz kila nikimpatia mtaji faida inaonekana ,na ananpenda xana lakin inshu ni hajui mapenzi ,akifika on bed ni kama google ,hachenji voice note wata respond ,hutulia tu japo najituma kwelikweli ,nimejarib kuonja chai kwingine ni tam sana coz kule naona respond yaani nikiponyeza moja Lazime iandikwe,naomba ushauri niendelee nae au nimwache nichukue anaejua mapenzi na kurespond?
 
Habari..
Mkuu hakuna mkamilifu ndo mana hao wengine wamenyima akili ya maisha wakapewa maujuzi.
Wewe fuata moyo wako kile unachotaka je mwenye IQ kubwa au Mtundu kitandani..🙂

MY TAKE
Kua na huyo mwenye akili ya maendeleo utamfunza taratibu how to be romantic..😱😱
 
Angalizo Akiujua Huo Mchezo Atatoroka Kambi

So Fanya Haree Up Muowe Muweke Ndani Mpe 3times Pregnancy Akipumzka Kidgo

Unampa Nyingine hapo Ndiyo Utaishi Naye Kwa Amani Aza wise
Tusubirie kitimoto Kuanguakia Kwa Muuza Supu.
 
Hahahaha huwezi pata kamilifu.....ana akili its well....au unataka mwenye tako hilo ziwa hilo..mrembo huyo akili zero.....kama mapenzi kuwa mwalimu wake.....usiwe serious sana...mfanyie vituko mara mkimbize sebuleni mara mtekenye....masaj mara mshtue na ulimi wa .....sasa muda huu sio tena wa kuleta IQ zenu au kujadili tena jinsi ya kuingiza pesa..training iwe ya romantic...then after some tine utaenjoy...atakiwa atleast well uta enjoy.....wachache wana IQ...as long as unampenda basi hakuna neno...maama sisi wanaume tunajijua...kupenda huwa sio ishu sisi sex tu....so if you do love her..bare with her
 
Kuna wakati ukifika huna budi kuchagua moja tuu,.Sasa ww shughuli kwako kama unataka sauti za uongo na kwelii au unataka kujijenga kimaisha pamoja na real love kazi kwako..chagua MOJA.
 
Habari yenu wakuu?
Ni miezi 6 imepita tangu niingie kwenye mapenzi na huyu binti,kimwonekano ni mrembo wasura na umbo pia ,rangi nyeupe mtoto amebarikiwa ,ndani ya kipind nilichokuwa nae nimegundua kua ni kati ya mwanawake wachache wenye IQ kubwa ya maisha ,anapambana sana kutafuta life nahis akiwa shemeji yenu au wifi yenu ntajenga ghorofa sio mda mrefu coz kila nikimpatia mtaji faida inaonekana ,na ananpenda xana lakin inshu ni hajui mapenzi ,akifika on bed ni kama google ,hachenji voice note wata respond ,hutulia tu japo najituma kwelikweli ,nimejarib kuonja chai kwingine ni tam sana coz kule naona respond yaani nikiponyeza moja Lazime iandikwe,naomba ushauri niendelee nae au nimwache nichukue anaejua mapenzi na kurespond?
sikuliza mfundishe yote unayotaka akufanyie polepole,atajya na atakuwa bingwa kuliko wewe,mie nilipata wa hivyo hivyo sasa hivi ni bingwa balaa
 
Mwanafunzi hajapata mwalimu!
 
Mfundishe unayoyapenda taratibu naye atakuwa wa matawi ya juu kitandani.

Habari yenu wakuu?
Ni miezi 6 imepita tangu niingie kwenye mapenzi na huyu binti,kimwonekano ni mrembo wasura na umbo pia ,rangi nyeupe mtoto amebarikiwa ,ndani ya kipind nilichokuwa nae nimegundua kua ni kati ya mwanawake wachache wenye IQ kubwa ya maisha ,anapambana sana kutafuta life nahis akiwa shemeji yenu au wifi yenu ntajenga ghorofa sio mda mrefu coz kila nikimpatia mtaji faida inaonekana ,na ananpenda xana lakin inshu ni hajui mapenzi ,akifika on bed ni kama google ,hachenji voice note wata respond ,hutulia tu japo najituma kwelikweli ,nimejarib kuonja chai kwingine ni tam sana coz kule naona respond yaani nikiponyeza moja Lazime iandikwe,naomba ushauri niendelee nae au nimwache nichukue anaejua mapenzi na kurespond?
 
Watu mnapata bahati mnazichezea kumbafu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom