Ushauri "samsung galaxy ace"

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Nahitaji ushauri Juu ya Ubora na Uzuri wa SAMSUNG galaxy ACE ,kwa aliyeitumia .
 
mimi natumia hiyo simu kwa zaidi ya mwaka galay ace 5830i ni nzuri iko quick katka kudownload na pia ni acute katka kulocate places using jps unaweza kuona sehemu yoyote duniani mpaka jengo lilivyo shida yake kubwa ni betri hapo ujiandae na hapa ndo natumia
 
Hiyo ni low end Android, android low end karibia zote sio nzuri. Android iko heavy on resources kama simu haina processor na GPU kubwa inakuwa hairun vizuri.
 

Ahsante !
Je ukilinganisha uwezo wa battery ya Ace ,na Samsung kama S II kuna tofauti hapo kwnye matumizi ya Batterry ! Na Battery huwa inadumu kwa Mda gani haswa ukizingatia Matumizi ya Moja kwa Moja toka Mda wakuitoa kwynye adopter.?
Na Je Display yake Vp(Video Quality).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ