Ushauri: Ps3 Vs Ps4

Usichukue PS 4 kama huna utaalamu mzuri kwenye kucheza magame itakusumbua,PS 3bado nzuri ila katafute mtu mwenye PS 4 uizoee kidogo kabla ya kununua
yeah ni kweli unavyo sema bcoz ps4 ni mpya ni ya kisasa zaidi ina features za kisasa zaidi ukitofautisha na matoleo mengine ya playstation. so utaalam flan ivi unagitajika kama we ni mgeni ktk ps4.
 
Uko deep sana
 
Nipe bei ya slim na hiyo fat
 
Vipi wakuu..hivi kibongobongo wadau wameshaweza ku-jailbreak ps4!?..
 
Usichukue PS 4 kama huna utaalamu mzuri kwenye kucheza magame itakusumbua,PS 3bado nzuri ila katafute mtu mwenye PS 4 uizoee kidogo kabla ya kununua
Mkii hivi vitu haviitaji kusomea wala nini. Nunua kaa nayo 3days ushaizoea kila kitu. Ni kama simu tuu
 
Xbox One wako vizuri kwenye paid games kuliko PS4 yaani unaweza cheza games zote za EA (Fifa, NFS, UFC, etc) baada kulipia EA Access service which cost $5 kwa mwezi au $30 kwa mwaka au kulipia games umiliki mwenyewe ila gharama sana
 
Vipi wakuu..hivi kibongobongo wadau wameshaweza ku-jailbreak ps4!?..
hata wazungu nadhani bado hawajajua ila kuna wa brazili ndo wananjia yao inaitwa ps4 dump flash technique

pia unawezakudownload free full games ktk ps3/4 kwa kubonyeza combo buttons ktk magemu yote yenye demo
hivyo utalitoa game kwenye demo kwenda full version free zero cost
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…