Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,776
[emoji13] kuna mengi hapa!Hapana bana.
Its like this mpaka unaamua kuishi na mtu unakua ushakubali madhaifu yake madogo madogo and despite the fact ana madhaifu yake u can keep up and still be happy living together (rejea the 80/20 rule)
Huyu dada anachopost au kulalamika yeye ni kwamba mi naona they’ve been living a world of pure lies since day uno (1). Unazaa vp na mtu ambaye hauko tayari kuwa nae ?? Ivi wewe swala kufunga ndoa na mtu usiekuwa na unatayari nae unalichukulia vp ?? Marriage is an institution ujue.
Its not a try and discard issue.
[emoji13] kuna mengi hapa!
Inategemea hiyo ndoa mliingiaje tangu mwanzo, usitake kuniambia frm no whr eti mnaanza tu eti mmechokana,sijui hampendani,uongo!iko sbb iliyowapelekea kufika huko haijaanza tu!
Kwani wangapi wanaingia kwny ndoa kisa mtu ana hela au kitu fulani?
Hao wapo tu wala usishangae ,wapo kabisa!!
Jus pray ,Mungu ndo kila kitu hawezi kukupa mke ambae hasomeki
Hot as f*ckHahahaha labda mleta mada angefunguka vizuri. Mimi nliwahi kudate dem flan for 2 years tumegegedana weee na i love u i love u too sana tu. Baadae kaja kuniambia “ i dont love you and i never will “ nikamwambia “ Sepa, i’ve got a great life ahead of me “ mpaka leo we meet sometimes we greet and talk sometimes ni ganzi mwanzo mwisho. At some degree yule manzi kuniona mi maisha yangu yanasonga fresh tu na nina mtu mwingine. You could tell alikua anaumia sana but hana jinsi.
Case ya huyu mleta mada yeye na bwanake washachokana....alaf bado vijana damu zinachemka...sasa kila mtu anakula nnje. Ila huyu sister anaumia sana cz the dude doesnt give a F*ck !!! He does it openly. Hyo sijui jamaa sio mkali sijui hadhibiti hawara zake its just what disturbs huyu mleta mada. Ila jamaa angezidisha mapenzi kwake asingekua hivi. [emoji38][emoji38][emoji38]
Hot as f*ck
Kumbe ulipenda mwanaume mkali sasa ummempata unalialia nini?!!!Ah mi nimechoka bana.
mtu ananionyesha live na mwanaume gani anaacga wife atukanwe na hawara?
yaani nimedharau sana kiasi kwamba hata sioni faida yake.
mi nataka mwanaume anayepiga nje na huko nje demu aogope hata kunijua ili asimuudhi hubby.
lo mwanaume gani hana ukali kwa kimada wake bana, linaburuzwaaaaaaa sasa mie la nini?
mi hadi nikupe k ni lazima nikuone ni mkali wa kutosha then nitakupa heshima yako na k juu kama huyo jamaa wa 42 yrs
Mwuue tuu ili uoleweyaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.
Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.
Malaya hana sifa ya kuolewa lazima ndoa ivunjike
Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.
jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.
ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.
Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.
Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.
jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.
ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
Ndio yeye, ila sisi wanawake Mungu anatuona kwakweli. Huyo jamaa mume alifariki pia km sijaingia chaka na mm. Niliona kule baadhi wanasema hivyo.Ni kumbu kumbu zangu ndogo au? Hv sio wewe uliekua unalalamika mme wako uliekutana nae JF ukamsomesha na mkopo ukakopa kumpeleka mwanae shule, anakisirani sijui analulazmisha sex, anakutesa na mengne? Kama ni kweli ulimuacha yule ukaja kwa huyu wa jf hio maana halisi ya karma. Kama nimechanganya madesa nisamehe.
Mambo mamii naomba Uje inbox Mana pm yako imefungwa.tatizo hakuna is just that, nimebugi mennnnnnn
tangu zamani nilikua navutika na wanaume wakali na wacheshi pia, yaani nataka nimuogope ndo nitamheshimu yaani kama watz tulivyomuogopa nyerere na tukampenda sana basi na mie ndo hivyo hivyo.
sasa mi simheshimu maana anaburuzwa nje, sasa why mie nimheshimu na siwezi ishi na dume nisililiheshimu
ndoa ya namna hii hata mimi nitajisajili ije tuNdoa za mikataba zinakuja soon watu tuahe kuzinguana mkataba ukiisha mnakubaliana muendelee na mkataba wa pili au mmwagane
😃😃😃 mtu kapost thread tangu 2013 wewe wamuhitaji leo pm.. waweza kukuta tayari alisha kufa..Mambo mamii naomba Uje inbox Mana pm yako imefungwa.
Urgent