Wanaume bwana,umemzalisha then unaishi nae kabisa unataka kumuacha umfate mwingine,chozi atakalolia huyo dada mwenye mtoto wako ni la thaman sana na for sure,nakwambia litakucost kwenye maisha yako na huyo wa nje,usiteme bigjii kwa karanga za kuonjeshwa kaka utakwenda na maji.baki na huyo mwenye mtoto na umuoe kama unampenda sana huyo wa nje cheat naye lakin huyo wa ndani asijue,wanaume mnaumiza sana umeshamwaribia muelekeo wa maisha kwa kuzaa kabla ya ndoa,umeshamtumia utakavyo then unataka umdump kisa mwingne,na utalaaniwa na Mungu kwa ujinga,unyanyasaji na unyama unataka kuufanya!plz kaka angu nataman hata nipate wasaa wakuzungumza na wew usifanye unachotaka kufanya.