Nina mahusiano na mtu ambaye tumekutana kwenye mtandao na hatujawahi kuonana, mwanzo tulikuwa tunawasiliana vizuri sana kwa skype, cha ajabu imefika kipindi mawasiliano yamekata na visa vya hapa na pale. hapa ninapofanyia kazi kuna kijana amekuwa akinifuatilia na sasa ni miezi mitatu na ninamuona ana mwelekeo. nimeshindwa kuamua ni mwache huyu ambaye hatujawahi kuonana hata siku moja sababu yeye ni mtanzania na yupo marekani. ushauri wenu wanajamvi
Naona ushauri ushatosha. Kila la kheri na angalia usiharibu kazi. Utushirikishe vicheni pate, Zinduna kesharudi.
Naona ushauri ushatosha. Kila la kheri na angalia usiharibu kazi. Utushirikishe vicheni pate, Zinduna kesharudi.
naelewa ila huyu hatupo ofisi moja bali huwa tunaonana maeneo haya na pia yeye yupo company tofauti na mimiTahadhari...mahusiano kazini yamekuwa yana matokeo mabaya, ikiwa mnafanya kazi eneo moja please do not enter tain that kind pf relationship, kwani huwezi jua wengine pembeni watapokeaje...na huyu anakufuatilia kwa vile anakuona kila siku, subiri ukichukua likizo itakuwaje
asante sana maana huyo wa mtandaoni sijawahi hata kumwona na pia mpaka 2014 ndio arudi