Pia kinafaa, kilichobaki sasa soma kwa bidii maana tatizo la shule ya advance unaweza ukasoma na ukajiona ume cover ila ikija NECTA unajikuta unadondoka, in short kwa advance ni rahisi sana kupata Div I au Div 0 ila ni ngumu sana kupata II au III, inategemea na wewe. Otherwise all the best.
Ndugu wapaswa kuwa mjuzi sana wa mathematics,na hii haihitaji uzembe bali wapaswa kuwa mfuatiliaji kwa kusolve NB: PCM INAONGOZA KWA KUTOA ONE KALI NA VILE VILE INAONGOZA KWA KUTOA ZERO KALI NA NYINGI,tafakari chukua hatua!
KWANZA: Jitambue uwezo wako ukoje,Je unaweza kuelewa bila tution????kama ndio its okay...kama sio basi make sure unakua mbele ya kila topic za shuleni kiufahamu kwa kusoma tution ili mwalimu akija uwe anakazia tu....PILI: Je shule uendayo its Private ama serikali???kama ni serikali jua kwamba jitihada zako binafsi zitahitajika sana,na wala usitegemee pepa za shule mid-term mpaka terminal,fanya sana mazoezi ya mitihani sehemu tofautitofauti
In Mathematics: Make sure after completion of each topic unafanya maswali mengi kwenye Pure zote na Past papers
In Physics: Do the same,kumbuka kufanya maswali ya aina tofauti tofauti in the same topic kwenye vitabu....have your own bank question kwa physics one na two including the past papers
Chemistry: Uwe na uimara katika organic chemistry, Pia soma kila kipengere kwenye In-organic...pitia Necta past papers
mara nyingi PCM wengi huwa wavivu katika chemistry, so jaribu ku balance muda wako vizuri ili uweze kusoma yote in equal ratio.
Pia usipende kuiga 'misuli' ya watu we soma kulingana na uelewa wako, utakutana na watu mpka walio maliza topic zote ila wasikutishe mkirud mwez wa tisa wote mnakuwa neutral.