Ocean road
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 631
- 304
Nawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage, nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vipi naweza nikawa habari ya mjini.
Advance nilikuwa na crew ya mabishoo boys 3 na dem moja tukawa Muda wote tuna hangout pamoja ikawa crew famous japo maticha walikuwa wanoko Lengo langu ni Kuwa star, nipeni mbinu wanangu Ambao mshatia mizizi chuo kama pamba zipo, Sina waswas bado PC tu nikamilishe ushaurini wenu Wana.
Wa kishua