love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,164
Mbinu ilifanikiwa?Mi nilimtisha kuwa nitaondoka pasipojulikana na asinitafute bora nijue sina wazazi.
Mbinu ilifanikiwa?Mi nilimtisha kuwa nitaondoka pasipojulikana na asinitafute bora nijue sina wazazi.
YeahMbinu ilifanikiwa?
HongeraYeah
Anauhakika gani kua huyo ni mama yake mzazi?Hahahahaha ampeleke mama mzazi mahakamani?
Radhi gani?amuogope mungu yupi?.........we una unauhakika gani kua huyo naye ni mama yake?Acha kuwagombanisha MTU na mama yake.
huko ni kukosa radhi.
Lawama zote nampa baba yake jamaa.
Kuna uwezekano jamaa alimkataa huyu mtoto labda tangu akiwa tumboni.mama wa watu akakomaa mpaka akajifungua.akamlea.akamsomesha kwa tabu.Leo amekuwa una mshauri ampeleke mama yake mahakamani?
MUOGOPE MUNGU.
Kama unaona sio mama yake..Radhi gani?amuogope mungu yupi?.........we una unauhakika gani kua huyo naye ni mama yake?
Hapo mjinga ni huyo mama........na kwa alichokifanya inaonekana alikua si mtu mzima kufikia miaka 28 Kama ya mtoa madaUmenikera mleta mada kusema unamchukia mama yako na umemuambia.
Miaka 28 ni mtu mzima kabisa, mpaka hakuambii jua ana sababu za msingi.
Rafiki yangu aliforce kwa mama yake aambiwe baba ni nani now anajuta....maana siku anakutana na baba ake, mama ake akanywa sumu kwa hasira sababu alimtelekeza kwa kashfa na matusi juu kipindi ana mimba.
Sasa yule baba yupo busy na familia yake....mama yake kafariki....na alizaliwa peke yake.
So ridhika na ulichonacho.
Hakuna mwenye uhakika nyuma ya keyboard.......ushauri wowote wa kuutafuta ukweli ni mzuri kuliko ushauri wa kuogopa RADHI ama LAANAKama unaona sio mama yake..
Msaidie kuwa tafuta wazazi wake.
Kama mama.amekataa kukupa ukweli.utafanyaje?toka mwenyewe ukamtafute baba yako.Hakuna mwenye uhakika nyuma ya keyboard.......ushauri wowote wa kuutafuta ukweli ni mzuri kuliko ushauri wa kuogopa RADHI ama LAANA
Hayo mambo yanahitaji akili kuliko nguvu na hasiraKama mama.amekataa kukupa ukweli.utafanyaje?toka mwenyewe ukamtafute baba yako.
Angelikuwa anakukera usingetega hiyo expansion joint ikatusuriwa mpk dogo akawepo!Pole sana mkuu. Haijalishi baba ako alimkosea nini mama yako sababu sasa hivi anakupunish wewe badala ya baba yako. Baba wa mwanangu ananikera sana ila linapokuja suala la mtoto nampa uhuru na mwanae.
Ndo maana nikamwambia jamaa.kama mama hataki kukwambia baba yako nani.usimlazimishe.Hayo mambo yanahitaji akili kuliko nguvu na hasira
Kwa Hiyo We Ndo Una Uhakika Huyo Dingi Yake Kuwa Haitambui Hiyo Mimba Au Sio?, Bora Ukaushe Kuliko Ku-reply Vitu Visivyoeleweka Jamaa Kaomba Ushauri Basi, Kila Mtu Ana Mtazamo Wake Juu Ya Hilo, Hayo Mambo Ya Kuongea Km Fulani Sio Poa.wewe una uhakika baba yake anaitambua hiyo mimba? mara ngapi unalala nje na wanawake na unawakojolea lakini hujui kama imenasa au laa? ongea kama mwanaume usiongee kama mwanamke. Je unajuwa kilitokea nini mpaka kukawa hamna mawasiliano kati yao?
Jamaa anachotaka ni kuufahamu ukweli tu basi haijalishi ataupokeaje.sasa mtu anapokataa kusema hapo ndio shida inapokuja.
Anatumia ubin wa nani?Muwe mnatusamehe tu cc mama zenu coz kijana wangu naye naamini one day atakuja niuliza babake nimuambie to be honest sitamwambia kama ni kuniua aniue tu kama ndio atamjua babake kwa aliyonifanyia siwezi mwambia
Wa kwanguAnatumia ubin wa nani?