Ushauri: Nitumie njia ipi kumshawishi mama aniambie baba yangu mzazi?

Acha kuwagombanisha MTU na mama yake.
huko ni kukosa radhi.
Lawama zote nampa baba yake jamaa.
Kuna uwezekano jamaa alimkataa huyu mtoto labda tangu akiwa tumboni.mama wa watu akakomaa mpaka akajifungua.akamlea.akamsomesha kwa tabu.Leo amekuwa una mshauri ampeleke mama yake mahakamani?
MUOGOPE MUNGU.
Radhi gani?amuogope mungu yupi?.........we una unauhakika gani kua huyo naye ni mama yake?
 
Umenikera mleta mada kusema unamchukia mama yako na umemuambia.

Miaka 28 ni mtu mzima kabisa, mpaka hakuambii jua ana sababu za msingi.

Rafiki yangu aliforce kwa mama yake aambiwe baba ni nani now anajuta....maana siku anakutana na baba ake, mama ake akanywa sumu kwa hasira sababu alimtelekeza kwa kashfa na matusi juu kipindi ana mimba.

Sasa yule baba yupo busy na familia yake....mama yake kafariki....na alizaliwa peke yake.

So ridhika na ulichonacho.
Hapo mjinga ni huyo mama........na kwa alichokifanya inaonekana alikua si mtu mzima kufikia miaka 28 Kama ya mtoa mada
 
Hakuna mwenye uhakika nyuma ya keyboard.......ushauri wowote wa kuutafuta ukweli ni mzuri kuliko ushauri wa kuogopa RADHI ama LAANA
Kama mama.amekataa kukupa ukweli.utafanyaje?toka mwenyewe ukamtafute baba yako.
 
Pole sana mkuu. Haijalishi baba ako alimkosea nini mama yako sababu sasa hivi anakupunish wewe badala ya baba yako. Baba wa mwanangu ananikera sana ila linapokuja suala la mtoto nampa uhuru na mwanae.
Angelikuwa anakukera usingetega hiyo expansion joint ikatusuriwa mpk dogo akawepo!
 
Nafikiri umepata kila aina ya ushauri
Maneno makali, ya kejeli, faraja na hata hope.
Kwanza pole sana, kwa ushauri tu tafuta waliokuwa jirani na mama yako miaka hiyo especially wazee jaribu kuwauliza kuhusu mama.

Lazima kuna watu wanakujua na watakupa habari zote ila uwe mvulimivu kwa yote
Kila la kheri
 
Hayo mambo yanahitaji akili kuliko nguvu na hasira
Ndo maana nikamwambia jamaa.kama mama hataki kukwambia baba yako nani.usimlazimishe.
Labda alibakwa au alipewa mimba na MTU asiyemjua unapomlazimisha.unataka akutajie baba gani?
ikiwa hata siku moja haujawahi sikia tetesi zozote kuhusu baba yako au ndugu zake hata mmoja.jua kuna tatizo.wewe shukuru una mama basi..
Na ukidhani Huyo mama si mama yako.unaruhusiwa kwenda kumtafuta mama yako.
 
Yani watoto wengine bora kuabort tu kuliko kuzaa shetani kama wewe.Yani unamchukia mamako kisa huyo unayemuita baba na unaweza kuta aliteseka mama wa watu ili wewe usome akiamini utakuja kuwa tulizo lake mbeleni ila leo ndo unataka kuwa mkuki huyo babako angekuwa anakuthamini mbona hakutafuti .Mungu wangu utalaaniwa wewe mtu laiti ungejua mateso wanayopitia single mothers sidhani kama ungeandika utoko wako hapa yani baba yako usikute alimtesa kisa ngedere wewe jamii iliyomzunguka nayo usikute ilimsimanga kwa kukuzaa wewe bila ndoa bado kunguni wewe tena unataka kumuongezea majeraha mama wa watu am sure God is watching you.
 
wewe una uhakika baba yake anaitambua hiyo mimba? mara ngapi unalala nje na wanawake na unawakojolea lakini hujui kama imenasa au laa? ongea kama mwanaume usiongee kama mwanamke. Je unajuwa kilitokea nini mpaka kukawa hamna mawasiliano kati yao?

Jamaa anachotaka ni kuufahamu ukweli tu basi haijalishi ataupokeaje.sasa mtu anapokataa kusema hapo ndio shida inapokuja.
Kwa Hiyo We Ndo Una Uhakika Huyo Dingi Yake Kuwa Haitambui Hiyo Mimba Au Sio?, Bora Ukaushe Kuliko Ku-reply Vitu Visivyoeleweka Jamaa Kaomba Ushauri Basi, Kila Mtu Ana Mtazamo Wake Juu Ya Hilo, Hayo Mambo Ya Kuongea Km Fulani Sio Poa.
 
Muwe mnatusamehe tu cc mama zenu coz kijana wangu naye naamini one day atakuja niuliza babake nimuambie to be honest sitamwambia kama ni kuniua aniue tu kama ndio atamjua babake kwa aliyonifanyia siwezi mwambia
Anatumia ubin wa nani?
 
Back
Top Bottom