kijana
me nasoma telecom dit
kwa ushauri wangu kama unaipenda field hii ya technoljia ya computer au telecom si mbaya ukaja na ukasoma kwani ni nzuri kama utaipenda na utahitaji kuwekeza akili yako kwenye kujiajiri zaidi kwani kozi hizi kwa sasa zinapoteza nguvu kabisa na ndo kozi za engineering ambazo zinakosa nguvu kabisa kwani sasa wanatuweka group moja na watu wa comp science kwenye ajira nyingi...
nakushauri kati ya hizo usome #telecom ila wakati unasoma pia ufanye proffesional courses kama CCNA CCNP OCA OCP MCSE na nyingine ukiweza na CISA hii itakufanya umalizapo degree yako uwe marketable pia kwny Computer jobs apps...
Kumbuka wanaograduate sio wengi kwa kozi hizi lakin wanakuwa wengi coz graduates compare na creation za ajira thn ukweli unakuwa graduates ni wengi lakin ajira ni chache na kweli graduates wengi wapo mtaa wa kozi hizi compare na engineering kozi zingine...
kama shida yako ni kusoma engineering yeyote soma CIVIL ENG, MECHANICAL ENG AU ELECTRICAL ENG...
hizo utakuwa katika safe side sana kaka...
nadhani itakuwa helpfully kwako kijana nlichoandika