Habari zenu wanajf mimi ni mwanafunzi wa 1st year bachelor of economic and finance nataka kufanya CPA kuanzia mwezi5 ili nijiongezee thamani naombeni ushauri wenu
Ningekushauri umalize mwaka wa kwanza halafu ndo ukiwa likizo ndefu upime kama utaweza kujitwika mzigo mwingine. Sina uzoefu na CPA yaani sijui mahitaji yake ya muda. Kwa wengi wetu hupiga degree moja ukimaliza ndo hayo mengine huingia. Kua muangalifu.
Hiyo ndo sifa ya first year semester ya kwanza unajiona upo nondo utapiga gpa ya 5 kabisa maana vitu ni rahis...ngoja upige mwaka 1 cdhani kama utakua na hamu na cpa...ilhali kwenye faculty yako utakua umeanza kupaki basi polepole