Ushauri: Nipo first year, nataka kusoma CPA

Ushauri: Nipo first year, nataka kusoma CPA

mmanta

Member
Joined
Nov 5, 2017
Posts
29
Reaction score
41
Habari zenu wanajf mimi ni mwanafunzi wa 1st year bachelor of economic and finance nataka kufanya CPA kuanzia mwezi5 ili nijiongezee thamani naombeni ushauri wenu
 
Lazima uwe umetoka form six eca au certificate ya uhasibu au uhasibu na fedha. Utaanzia atec 2. Ila Kama unatumia cheti cha form four utaanza atec1
 
"Mtaka nyingi nasaba...." MHENGA
 
Ningekushauri umalize mwaka wa kwanza halafu ndo ukiwa likizo ndefu upime kama utaweza kujitwika mzigo mwingine. Sina uzoefu na CPA yaani sijui mahitaji yake ya muda. Kwa wengi wetu hupiga degree moja ukimaliza ndo hayo mengine huingia. Kua muangalifu.
 
Usifikiri CPA ni kama ulivyokua kule advance, utapoteza pesa na muda usipokua makini.
 
Utapoteza hizo hela zako.. Some kwanza iyo Degree yako umalize..CPA Sio yakuikimbilia bwana mdogo
 
Kuna watu wanasoma CPA na degree kwa wakati mmoja....na wewe unaweza kuwa mmojawapo?
 
Nenda NBAA KAULIZE... UNAWEZA SOMA BUT UNAANZIA MODULES ZA CHINI KULINGANA NA SIFA ZAKO
 
Hiyo ndo sifa ya first year semester ya kwanza unajiona upo nondo utapiga gpa ya 5 kabisa maana vitu ni rahis...ngoja upige mwaka 1 cdhani kama utakua na hamu na cpa...ilhali kwenye faculty yako utakua umeanza kupaki basi polepole
 
Back
Top Bottom