Ushauri: Nione au nisioe?

Ushauri: Nione au nisioe?

Salaam wana MMU,
Niko kwenye mahusiano yenye malengo miaka 2 sasa,huyu mpenzi wangu nampenda maana ana sifa nyingi nzuri ila tu ana asili ya unene (thick woman) na mfupi afu mi ni mrefu na mwembamba (slim man) yaani nikitembea nae siwezi mshika kiuno zaidi ya kuweka mkono begani,hata kumkumbati kichwa chake kinaishia kifuani tu.
Katika vigezo vyangu vya mke wa ndoto zangu napenda awe mrefu na mwembamba but huyu nilimkuta bikra nikachanganyikiwa nikaingia kwenye mahusiano je niendelee nae mpaka ndoa au maana hizo sifa mbili tajwa hapo juu naona kama ni changamoto yeye kuwa mke wa ndoto zangu...
Sasa kilichokuchanganya si ndo kitakufanya umuoe my foot!n vizur ukichanganya Mbegu babu yangu kama ww alimuoa bibi effect zimekuja mpaka kwa wajukuu
 
wakati wa kubanduana urefu mnakuwaga sawa ila kuongozana unamzidi urefu ?

ila kuongozana na demu mfupi jau nishawahi kuulizwa nampeleka wapi mtoto wa watu
Acha ww [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom