Jiwe kuu01
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 228
- 86
Nashkr mkuu nitafanya hivyo.Omba Environmental Health Sciences.
Ipo SUZA,RUCU na MUHAS.
Ni kozi itakayokupa fursa sana kimaisha.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
A level umesoma combination gani? Na tokeo lako likoje?Wakuu kwa heshima na taadhima HESHIMA yenu,.
Mdogo wenu hapa naomba msaada
Nimemaliza form six mwaka huu kwenye dirisha la udahili awamu ya Kwanza nimekosa vyuo vyote nilivyoomba ambavyo ni;
1: College of African wildlife management Mweka.
Kozi;
Bsc in wildlife management
2; Sua
Bsc in veterinary medicine
Bsc in wildlife management
Bsc in Food science
Bsc of science in molecular biology and technology
Bsc of science in Human nutrition
3; UDSM
Bsc in wildlife conservation
Bsc in architecture
Bsc in Food science
Wakuu nasikitika katika vyuo vyote nimekosa
Naomba USHAURI wenu mdogo wenu kwenye second Round NIOMBE Kozi zipi ambazo zitakuwa na soko kwa hapo Baadae
Natanguliza shukran zangu za dhati [emoji120] wakuu
USHAURI WENU UTANIWEKA MAHALI SALAMA
CBG divn 2.12 mkuuA level umesoma combination gani? Na tokeo lako likoje?
Shkran mkuuIpo iv Mkuu
Omba course zifuatazo pale SUA
Bsc. Forest
Bsc. Horticulture
Bsc. Agriculture general
Kila lakheli Mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Poa poa lkn ya kwanza weka Horticulture then agriculture general and forestShkran mkuu
Horticulture inahusiana na mambo gani mkuu.Poa poa lkn ya kwanza weka Horticulture then agriculture general and forest
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Matunda,maua,mbogambogaHorticulture inahusiana na mambo gani mkuu
Nimekupata shkrn mkuuMatunda,maua,mbogamboga
Kilimo cha maua na matundaHorticulture inahusiana na mambo gani mkuu.