Ushauri nini cha kuzingatia unaponunua Iphone used?

Nunua used kutoka USA pekee (Amazon) lakini kwingineko mmh hata hapa bongo wauzaji waaminifu ni wachache sana! Sikushauri kabisa, Bettery health at least isiwe chini ya 85%
 
Back
Top Bottom