Princessor
Member
- Aug 30, 2015
- 9
- 7
Wakat unapigwa dry hukutaka ushauriHeri ya pasaka nyote.ninaomba ushauri wenu nimetoka Na mume Wa MTU nimejigundua nimenasa ujauzito wake. Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nn, sasa hv kazima simu zake nisimpate, Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa. Naomba ushauri wenu Wa busara
Ni PM niitoe kwa kukuingilia, hiyo dawa ninayo!!!Heri ya pasaka nyote.ninaomba ushauri wenu nimetoka Na mume Wa MTU nimejigundua nimenasa ujauzito wake. Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nn, sasa hv kazima simu zake nisimpate, Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa. Naomba ushauri wenu Wa busara
Majuto ni mjukuu..wahenga walisema. Hukujua siku zako za hatari wewe?Heri ya pasaka nyote,
Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.
Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.
Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.
Naomba ushauri wenu wa busara
Wakati unanjunjana hukujua kama upo kwenye shirika la kidini?????Heri ya pasaka nyote,