Ushauri: Nina mahusiano na mwanamke 'msimbe'

daah mkuu.. hii ndo inaitwa experience [emoji2]
 
Duhu gete Ngosha...nalilomba giki liachage
 
siku hizi karibia kila binti ni "msimbe"...utamuacha huyo lakini utaishia kulekule.
 
Anakupendae? Sio anataka kufuta nuksi so anajibanza ktk kichaka cha kukupenda? Changanya na zako.
 
Ushauri wangu, kama umri wako ni 29+ na unaona anakufaa oa,

Lakini kma umri wako ni chini ya 27, ukioa msimbe umejila,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…