Ushauri: Nina mahusiano na mwanamke 'msimbe'

Ushauri: Nina mahusiano na mwanamke 'msimbe'

Goodhope078

Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
72
Reaction score
23
Kuna dada niko nae kwenye mahusiano ila ni msimbe na maanisha aliwahiwa kuolewa na jamaa mwingine ila mimi na yeye tunapendana sasa mwenzangu ananiambie tuoane ila mimi naogopa kuchukua wowote maana yeye ni msimbe na mimi bado sijafanikiwa kupata mke ila nahisi nampenda nahitaji ushauri wenu.
 
Sikiliza moyo kijana ila usisahau kushirikisha ubongo
Pia nakupata Sana ila nimekuwa nkiona et nkimxhukua ndgu watanizonga pa1 na jamii inayonizunguka ila kiukwel nmekufa nkaoza kwa huo dada nahs kumpenda kupndukia MKUU
 
yaonyesha Umri wako bado mdogo sana hujakomaa huwez hata kufanya maamuz sahihi katika mapenzi...
Hujakosea mkuu ila umuhimu wa Hili jukwaa nikutoa elimu na ushauli kwa watu wanaohitaji ushauli KWAHIO SION TATIZO
 
Tafuta mwingine, huwa wanarudi kwa waume zao hao hata kwa ku cheat. Hawana ujanja
 
Ni aibu kijana ambaye hujawahi kuoa kabisa kuparamia used .
Ni vema ukatafta binti hata kama hutaikuta bikra.Hao wengine tuachieni sisi wenyewe.
Ajabu vijana mnaishia kubeba mikosi ya wengine tu.
Kila lakheri.
 
Pia nakupata Sana ila nimekuwa nkiona et nkimxhukua ndgu watanizonga pa1 na jamii inayonizunguka ila kiukwel nmekufa nkaoza kwa huo dada nahs kumpenda kupndukia MKUU
Huwezi kuchomoka umeshakula chakula chake ukashiba kilichochanganywa na uchi wa fisimaji jike.Utaoa tu upende usitake.
 
Back
Top Bottom