Ushauri nimuache au nifanyeje?

Huyu member mwenzetu Avemaria ndiyo muhusika uliyeahidi utamtaja jina?
Ok! Hamna uhusiano wa SCD na kusema uongo.

Vijitu viongo viongo hata kwa mambo madogo madogo huwa havifai kamwe , hutakaa uwe na furaha.
Kuhusu kujiua hiyo haipo.

Avemaria huyu ajui chaka hili la jf siyo mfuasi ata kidogo.
 
Last edited by a moderator:

Hofu yako kubwa ni kwamba huyo bibie atafariki mapema wala sio suala la uongo.Kuhusu suala la ukimuacha atakunywa sumu, na wewe mwambie AKIKUDANGANYA utakunywa sumu.
 
Hofu yako kubwa ni kwamba huyo bibie atafariki mapema wala sio suala la uongo.Kuhusu suala la ukimuacha atakunywa sumu, na wewe mwambie AKIKUDANGANYA utakunywa sumu.

Mwanagu bonge la dailema.
 
Mmmh..niliwahi kufanya kazi na mtu mwenye sickle cell..mweh! Yataka moyo. Alikuwa akiumwa mara kwa mara, hospital kila wiki na akiumwa atalazwa kabisa. Alikuwa mtoto mdogo tu 20yrs. Sijui kale kadada ka kihindi kanaendeleaje siku hizi...!
Hata hivyo sickle cell haina uhusiano na uongo wa mtu..!
 
Mbona mwisho umemtaja Avemaria tena jamani..!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah umenichekesha kweli wewe dah!!!
Kwahiyo ningekuwa ndo mimi jamaa angekuwa kakosea njia? LOL

Hahaha sikua na maana hiyo bibie Avemaria.....maana yangu ilikuwa kuhusu hiyo kudisclose mambo ya chumbani na kuweka ID humu km baadhi ya waliowahi kufanya hivyo humu jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Uongo siyo mzuri. Mtu muongo ni wa kumuogopa sana, inaonekana na bado kuna vingi sana anakudanganya. Ana mambo yake tu huyo, siku ukija kumfumania atkuambie alikuwa anakudanganya tu.
 



mmmh labda nakushauri ukasikilize ule wimbo wa ambwene mwasongwe kwanza wa upendo then ndio urudi.Mungu anauwezo wakufanya pale ambapo hata sisi hatufikirii kama inawezekana.mwasongwe aliimba yule kijana alimpenda yule dada akiwa kichaa na Mungu alimponya yule dada ili yule kaka asiaibike na upendo wake.sasa unafikir mungu hawez mponya mtu mwenye siko cel?????pale kwenye mapungufu upendo ndio hupimwa.
 
Uongo siyo mzuri. Mtu muongo ni wa kumuogopa sana, inaonekana na bado kuna vingi sana anakudanganya. Ana mambo yake tu huyo, siku ukija kumfumania atkuambie alikuwa anakudanganya tu.

Asante kwa ushauri!
 

umeongea point sana
 

Big point...! Hapa sasa imani itatosha make kwa Mungu tiba ya kwanza ni imani ya mwombaji na muombewa kiukweli nimechanganyikiwa sijui nini nifanye mwenzenu..!
 
Mimi nafikiri unatumia vibaya neno "Nakupenda", kama kweli una maanisha basi huo ugonjwa wake wala isingekuwa tatizo.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda hata hilo swala la yeye kuumwa sickle cell kakudanganya.

Kwa kweli niliposoma hiyo story hata mimi nimeshangaa, kati ya magonjwa ambayo mtu hawezi kuyaficha kwa mtu unayeonana naye mara kwa mara ni Sickle Cell...lazima ungejua kuwa ni mgonjwa! Labda kama ana Sickle Cell trait, ambayo mbebaji wa trait si lazima awe na dalili. Sickle Cell kama ugonjwa haisababishi kuogopa..lakini muathirika wa huo ugonjwa kuna uwezekano mkubwa wa kuapata athari za kisaikolojia akawa muoga na kutumia uongo kujilinda. Japo sioni link kati ya uongo wake na ugonjwa huo...Wagonjwa wa Sickle Cell huudhuria clinic maalum kila mwezi, muombe uende naye siku yake ya clinic utaujua ukweli.
 
Love doesnt ask why
maradhi sio tatizo ktk mapenzi ila ww HUMPENDI na ndo mana unawaza kumuacha
 
Bila shaka avemaria mwingine...!
Ningekushauri hapo ulipotaja jina Avemaria ungeweka angalizo kwamba sio huyu wa jamvini.Licha ya kuwa umefafanua kwenye comment ila kuna wataoishia kusoma maada tu na kuconclude kuwa ni mimi au pengine anaweza asipaone hapo ulipokanusha maana si wote husoma kila comment.
 

Pole kwa masaibu yanakupata kwasababu ya hii thread nifanya hivyo. kama jamaa kajidai kutimua nitaziba pengo maana avemaria atakuwa yupo baada ya kuondoka jokes but possible usijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…