Ushauri: Nimeshindwa kumsahau dada huyu

Ushauri: Nimeshindwa kumsahau dada huyu

Mapenzi ni sehemu ya maisha mkuu na ndiyo yanayoendesha dunia usijisahaulishe.

Umesoma sentensi bila kutafakali. Nilimaanisha kaamua kachagua kurekebisha mapenzi, badala ya kurekebisha Maisha yake kwanza, yawe mazuri halafu mapenzi yatafuata baadaye.
 
Akishaondoka mbele ya macho yako utamsahau.
Kuwa na subira
Fact mkuu... Mkisha-achana after graduation ndani ya miezi2 tu usimtie machoni automaticaly ile kanuni ya kumsahau mtu uliyeondokewa naye ina take place.

Watu wengi wanafeli ktk kuitumia hii kitu... Nikivurugwa huwa natangaza kwanza hali ya amani ndani ya nafsi yangu then naunda mkakati wa kuhandle that situation ndani ya nafsi yangu kwa mara nyingine tena..

Hiyo mikakati huwa ninaiweka chini ya policy ya
''Mungu ameumba kusahau, watu wangu niliowajua leo hawapo tena wamesha sahaulika sembuse huyu mtu''

Basi toka hapo chochote kinachomuhusu huyo mtu hakitakaa mbele yangu..

Hata kusikia ama kumzungumzia kwangu siruhusu tena.

After 2 month tayari huyo mtu anakuwa baridi kwenye nafsi yangu yaani ninakuwa normal kabisa kana kwamba sikupata kumjua kabisa...
 
Una miaka mingapi kijana maana naona upeo wako wa kupambanua mambo bado uko chini sana. Issue yenyewe inaonekana straight forward kwamba binti hakutaki unaomba msaada gani wa mawazo.Dogo potezea huyo utafute mwingine over and out.
 
Huwezi amini, finaly utakuja kuoa mke ambaye hajasoma saana
 
wakuu

kuna msichana nimetokea kumpenda yani kumpenda kweli kweli sio utani!
kama ni kuteka hisia basi yeye kateka asilimia 80 ya hisia zangu na nilipanga awe wangu wa maisha

dada huyu nasoma nae college moja na mda si mrefu tunagraduate

lakini huyu dada yeye hayuko tayari kua na mimi na ameshanitamkia kabisa
ila akili yangu imeshndwa kumsahau kabisa, kila nikikaa namuwaza yeye,nikimuona hata na wavlana wengne ndo kabisaa moyo unaniumaa sanaa

nimeshndwa nifanyeje, naombeni ushauri wenu maana akili yangu imeshndwa kumsahau!

WEKA PICHA,
KISHA NI_PM NAMBA YAKE FASTA TULITATUE TATIZO!
 
muda mchache mtagraduate, mbona simple tu, vumilia kidogo mkishagraduate utamsahau tu na maisha yatasonga.....
 
Back
Top Bottom