vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,497
Wakuu,
Kuna msichana nimetokea kumpenda yani kumpenda kweli kweli sio utani,
kama ni kuteka hisia basi yeye kateka asilimia 80 ya hisia zangu na nilipanga awe wangu wa maisha, dada huyu nasoma nae college moja na mda si mrefu tunagraduate lakini huyu dada yeye hayuko tayari kua na mimi na ameshanitamkia kabisa ila akili yangu imeshndwa kumsahau kabisa, kila nikikaa namuwaza yeye, nikimuona hata na wavlana wengine ndo kabisa moyo unaniumaa sana.Nimeshndwa nifanyeje.
Naombeni ushauri wenu maana akili yangu imeshindwa kumsahau!