Ushauri: Nimeplay voice note ya mchepuko mbele ya mke wangu

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Wakuu habari za asubuhi.
Naombeni sana ushauri wenu kidogo leo niliamka mapema kufuatilia yaliyotokea Dunia bahati mbaya nilikuwa nimeunganisha simu yangu na Bluetooth ya Spika kujiburudisha na mziki kidogo na wife nimemuacha kitandani kalala.

Nilichokosea wakati nimetoka chumbani mlango sikufunga nikaketi sebuleni. Kilichotokea katikati ya mziki huku na peruzi mitandaoni ikaingia voice note ya mchepuko sijui ni pepo gani hili nikaicheza.

Hapa nilipo natafuta safari ya kuondoka ila bahati mbaya jana nilisema sitoki kabisa leo nyumbani. Naombeni ushauri kutatua hili?
 
Mnaoaga manamake mabaya ya nini? Wazuri hukuwaona? Maana kuchepuka huwa inaonesha jinsi gani nkeo ni kinyago cha mpapure!
 
Usijali, muombe msamaha na ahidi kuacha michepuko na pia ACHA KABISA KUCHEPUKA ni Dhambi na pia unachotafuta kwa mchepuko ni hikohiko upatacho hapo kwa mkeo, na hata kama huyo mchepuko angekuwa mke wako UNGECHUPUKA TU. So hio ni tabia ya kuiambia STOP!
 
Sie hatuna cha kukusaidia mkuu maana hujwatuelewesha jinsi mkeo alivyoreact kuhusu hlo swala!
 
Usijali, muombe msamaha na ahidi kuacha michepuko na pia ACHA KABISA KUCHEPUKA ni Dhambi na pia unachotafuta kwa mchepuko ni hikohiko upatacho hapo kwa mkeo, na hata kama huyo mchepuko angekuwa mke wako UNGECHUPUKA TU. So hio ni tabia ya kuiambia STOP!
 
kaiplay tena yote,ndio dawa halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…