Ushauri: Nimeoa lakini simpendi mke wangu

Je aliowa wakati hana hera, au baada ya kupata hera?
 
Mwambie kama anahele nimnunue huyo mke wake Kwa -60000000 matatizo kama haya nayasolve kirahisi tuu
 
Hapo ni shida ya saikolojia, yaani amani yake ya moyo kaitegemeza kwa mwanamke. Hii kitu mbaya sana, ndo hao wanaokuwa mateja wa mapenzi uishia kuua au kujiua kisa mapenzi
 
Huu Uzi ni WA kutunga alafu unawafanya wanaume wenzio waonekane hawajitambui na hawana msimamo.

Tengeneza nyuzi za kueleweka😎
 
Ila wanaume mkishapata hela sijui huwa mnakuwa vipiii kabla hajawa tajiri alimpenda akamuoa sasa hivi kimebadilika nini
Ngoja apigwe tukio.Hii mbaya Sana kumuacha mke uliyesota nae ndio baraka YAKO,wengi waliofanya hivyo waliambulia vilio.
Mungu anazo sababu nyingi Sana kwann awapi utajiri wengine hii ni moja ya sababu pia
 
Kwanza hakuna uhusiano kati ya mapenzi ya kweli na utajiri, isipokuwa upo uhusiano wa utajiri na ukahaba....

Msaidie jamaa yako kwa kumweleza kuwa hawala huleta mikosi, mke huleta baraka na kuwa dhambi kubwa isiyosameheka kwenye ndoa ni uzinzi!
Hawaelewi hili, mafanikio yeyeto uyapatayo kwenye ndoa chanzo ni baraka za mke uliye nae.
Hii ni SAwa na yule aliyepatia utajiri kazini then akaacha Kazi asimamie utajiri huwa anafilisika.
 
Kama hujaoa,mu-overtake huyo jamaa yako. Yaelekea mkewe ni wife material sana
 
Maswali ya msingi wakati anamuoa alikua anahela au Hana na kama alikua nazo poa Ila kama hakua na pesa akimuacha huyo mwanamke ndio anguko lake lilipo
 
Ndoa ni utapeli kataa ndoa
 
Ila wanaume mkishapata hela sijui huwa mnakuwa vipiii kabla hajawa tajiri alimpenda akamuoa sasa hivi kimebadilika nini
Bora kutokuwa na pesa kuliko kukosa akili,,jamaa ni mjinga sijaona.
 
Kipindi hajapata hela alikuwa mzuri,amepata hela anaona sio type yake,mwambie nampa pole make anachokitafuta atakipata
 
Badili #Id yako tafadhali, hakuna uhalisia wa Big thinker na mawazo yako 😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…