Mkuu pole sana kwa matatizo hayo. Tafadhali unaweza nisaidia jina la hyo application na hatua kwa hatua jinsi ya kuinstall na yeye asiione?tafadhali msaada kwani mimi wangu nilishawahi mkamata akanisaliti nikamsamehe but sina hakika kama aliacha. Tafadhali nisaidie