Ushauri: Nimemuacha anatishia kujidhuru

Hakuna mzima kati yenu. Nyote ni matatizo matupu.
 
Wewe kijana mbaya sana, why spying on your fellow to that extent in the first place ?
Huoni kwamba kwa kufanya ulichokifanya unahitaji kuhukumiwa?
 
acheni kutuchunguza jamani khaaa
ngoja niache kutumia smartphone maana tunachunguzwa mno
khaaa
 
ni kweli basi namshauri aende polisi aseme ukwelli ili ikitokea la kutokea asihusishwe na lolote lile mkuu niaminivyo n kuwa mwenye kufanya ubaya hua hatamki wazi wazi
 
Pole sana kaka. Mpe nafwasi ya kutafuta replacement. Alikufanya atm yake sasa unagoma kwa kupoteza password. Usikate haraka supply kihivyo. Atakula nini tena ka ndo umeamua kumkaushia?
Mpe notice kuwa mwisho ni mwezi wa 10 angalao arekebishe mpango kwa hao mafala waliobaki.
 
Anyetaka kujidhuru hatoi taarifa, ni utekelezaji tu, sasa naona anakuchimba mkwara,pili vipi unampenda bado? Kama humpendi muache kistaarabu haina haja ya vijembe au kumtishia unamuacha, tatu hebu nitumie jina ya hiyo application uliyokuwa unamchunguzia kwenye simu yake..
 
Mwambie apitie nyumbani kwako achukue dawa umemnunulia ambazo atakufa haraka. .
 
Anakujaribu anaetaka kufa Wala hasemi ajiua tu hema usende polisi Wala wapi endelea Na Maisha yako tena kua kimya akipiga usipokeee akituma SMS usijibu kingine usirudie kumchunguza bata hutamla.

Asante kwa ushauri wako
 

Nimekusoma Mkuu
 

Moja, Nashukuru kwa ushauri. Mbili, nimeshamtoa moyoni na nimemuacha kwa amani tu ila yeye ndo anatishia kujidhuru. Tatu nitakujibu PM
 
acheni kutuchunguza jamani khaaa
ngoja niache kutumia smartphone maana tunachunguzwa mno
khaaa

Ukiwa na njia za panya lazima uogope kweli, ila kama muaminifu huna sababu ya kuogopa
 

ha ha ha ha
mkuu umenifanya nicheke hadi majirani wananishangaa
 
Msamehe kwani imeandikwa tusameheane saba mara sabini.
 
Weeeeeee maneno tu na hawez thubutu watu wa vitendo huwa hawatangazi bali ww utaxkia kwa watu kuwa kafanya kitu fulani ,lala mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…