Hodi wanajamvi.
kwa zaidi ya miaka nimekua mfuatiliaji wa thread mbalimbali jukwa hili na nimejifunza mengi kwenu, naamini kwa busara zenu mtanishauri nini cha kufanya katika hili linalonisibu.
Mwanzoni mwa mwaka huu nilikutana na binti mmoja anasoma chuo uuguzi, nilimpenda na tukaanzisha mahusiano, mimi na huyu mpenzi wangu tulikua tunaishi wilaya moja ila maeneo tofauti hivyo tulikua tunaona wikendi moja kila wiki mbili.
Nilimjali na kumthamini kwa kila hali na tukawa na mipango ya kutambulishana nyumbani mara tu atakapohitimu masomo yake.
Ilipofika mwezi wa tano nikaanza kuona mabadiliko, tunapokuanae wikend usiku anapigiwa simu ambazo sizielewi nikimuuliza anasema ni kaka yake.
Ilipofika mwezi wa sita nikapata safari ya kikazi kwenda mkoa mwingine kwa kipindi cha miezi miwili, mpenzi wangu alikuja kuniaga nilimuomba simu yake nicheze game nikainstall spy application kwenye simu yake nikaenda zangu safari, kuanzia siku hiyo nikawa napata taarifa za mawasiliano yake.
Kupitia hiyo application niliweza kugundua ana mahusiano na watu wawili mmoja akiwa ni ndugu yake, nilijizuia kumuuliza chochote kwa kipindi cha mwezi mzima ili nikusanye ushahidi vizur.
Juzi uzalendo ukanishinda nikamuuliza kakataa, nikamtumia baadhi ya sms walizokua wanachat akagoma sio zake, eti rafikiake alikua anatumia simu yake. Nikawabana wote wawili rafikiake kakubali kua sms sio zake (sms ni za mpenzi wangu), basi nikaamua kuachana nae.
Tatizo ni kuanzia jana ananisumbua turudiane nimegoma anatuma sms za kutishia kujidhuru nifanyejee?!
1. Niendelee kukaa kimya nisijibu sms wala simu yake
2. Nikatoe taarifa polisi
3. .......
NB: Nimeshaamua SITARUDIANA NAE.

he better take precaution,..Kitu gani kimekuaminisha na kuku''guarantee'' hawezi jiua?..Mbona kuna kesi nyingi tu za watu kutishia kujiua,na wakajimaliza kweli.?..Ni bora huyu mtu achukue all neccessary measures.Asijekuwa namba one suspect baada ya suicide kutokea.Hivi vitu vina usumbufu wake sana polisi.Anakujaribu anaetaka kufa Wala hasemi ajiua tu hema usende polisi Wala wapi endelea Na Maisha yako tena kua kimya akipiga usipokeee akituma SMS usijibu kingine usirudie kumchunguza bata hutamla.
kesi za watu kutishia na kujiua zipo nyingi sana...Kumbuka ''kutishia'' ni mojawapo ya last resort kujaribu kurudisha penzi lao.Tukio la kujiua si suala la kulala leo,kesho ukaamka ukajisikia tu,ukajimaliza.Ni final product ya ya internal conflicts,baada ya njia zote kwa uwezo wako ''uliiona'' zinafaa na zikafeli na kukata tamaa.wewe anaetaka kujiua hatangaz ungesikia tu wito wa polis.....
hhahahaahahaa sio kwa sumu hiyoAndaa kamba ya mkonge na aina yoyote ya sumu ya panya maji ya battery lita moja viweke uzuri kisha mpigie simu aje alifika unamfungashia aende akatumie kwao.
mmh mkuu emu nipe maelezo vizuri ya jina la hiyo application na jinsi inavyofanya kazi....nikainstall spy application kwenye simu yake