Ushauri: Nimempa mimba binamu yangu

Ungetuomba ushauri kabla hamjavua tungekushauri ishaingia sasa tukushauri nn.
 
Cha msingi mpeane zamu ya kuibeba akifikisha Tisa zamu yako kubeba
 
Usithubutu kutoa mimba
Unapiga kila bidada mpaka ndugu
Eti binamu nyama ya hamu
 
Kamwadisie Anko (Baba yake binti) atakushauri vizuri
 
Cha msingi mwambie aitoe haraka ipasavyo kwa sababu italeta shida kwenye familia zenu,
Ili kuepuka aibu na dharau ni heri aitoe mapema hiyo mimba, na usifanye makosa tena kumpa mimba binamu yako.
Pole sana mkuu.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…