Ushauri: Nimelogwa au ni upendo?

wenzako huwa wanabalance mioyo yao
50% - kupenda
50% - kutopenda
 
unahitaji ubongo mpya huo umeshaharibika kwa kansa ya ubongo
 
The same age dah! Pole kichwa cha chini kisikutese, kama wako atarudi.

Ila pesa nayo tafuta kuna kitu hakijakaa sawa mdogo wangu.
Dah! nilikumiss aisee mamy bora umerudi nahisi leo nitalala vizuri
 
Hakikisha kabla hujaingia kwenye mahusiano yoyote yale unatoa kwanza PHOTOCOPY ya moyo wako kisha ORIGINAL copy unaiacha nyumban.,Just in case
 
Ukiachwa achika, Japo ni ngumu ila jaribu kuangalia zaidi malengo yako ni nini? Jiulize kabla ya hapo uliishije? Jiweke busy kufanya mambo unayoyapenda sana
 
Pole sana kwa mkasa mambo ya wanawake inabidi uingie kwa akili sana.Huyo tayari hakupendi na mshukuru mungu kakuonesha mapema la sivyo ungeoa gaka ndani.Piga chini tafuta hela saiz 25 bado mdogo kijana wangu.
 
Mapenzi hayahitaji uwe serious.
Ni kamchezo flani tu.
Ni kamchezo ka moyo kanakohitaji akili.
Mambo ya true love washa tv uangalie kwenye ST Novela.

Hivyo move on, siyo tu kwa sababu ni vyema, bali kwa kuwa ndo hivyo yaani.
Usipoanza leo utaanza ukiwa tayari.
Pole kwa hayo maumivu. Na hayataisha leo ndugu.
 
Mkuu umeongea kiutu uzima make humu kuna mapoyoyo daily wanajifanya wao wanaweza kuhandle kila stuation kumbe wapi.
Thanks nahis mhusika atajitahid kurecover japo ni ngumu kdg
 
Naomba mnisaidie hata ushauri tu, sijui nimelogwa au ni upendo tu maana hii experience sijawahi kabisa kuwa nayo tangu nizaliwe.




Ni udhaifu wako tu ujarogwa wala nini
 
pole sana ....muombe Mungu usahau upate na faraja
 
Kabisa tena ningekula nikashiba na uzito ningeongezeka asitafte visas wala aishi maisha yake
 
I beleive huu ni ushauri mbaya, una mshauri jamaa awe player, remmber ukichagua kwenda njia hiyo there is no going back. Halaf kaka unashindwa kutofautisha kati ya mwanamke na msichana..
Mwanamke ambae unampenda yeye anakuona poyoyo huyo ni msichana .. why? Sababu anapenda kuwa abused, kutukanwa, kudharauliwa.. ndio anapata ile adrenaline rush na kusikia raha. Hiyo hali ni so addictive.
real woman in other hand hawapend kuwa abused, show them love nao watakupenda kama ulivyo.

The thing is jamaa anatakiwa awe na msimamo haswa. Yani ni O au 1. Dem akianza mizinguo piga chini instantly chukua mwingine. Dont cheat maana huo ni upotev wa muda na resource.

+ kama unachange tabia yako from good person to be a player, kuwa mbabe ,kuwa na roho mbaya ili tu umridhishe mwanamke basi utakuwa hauko na mtu sahihi.. mtu anaetaka kuwa nawe atavumilia mapungufu yako lakin si kukulazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…