Ushauri: Nilimuomba tigo ili nijue ana msimamo gani, sasa kaniacha

shenzi kabisa ww!C kuna kampuni ya tigo ungeenda kuomba huko!! sehemu ya asili aliyo kupa Mwenyezi MUNGU huitaki unatakiwa is Hamas yako chafu.
 
Haikuwa dhamira yangu kufanya hivyo, nilitaka kujua anamsimamo wa namna gani.Kanimwaga jamani bado nampenda sana lakini ndo hanielewi.hadi marafiki zake nimemtumia lakini anawachomolea kwa matusi.
Wadau naombeni ushauri nifanye nini ili arudi?
Anastahili akuache shenzi time unaachaje kitu kitamu unafuata kitu kichafu...
 
Leo lazima ujute kuleta huu uzi huku maana hakuna anayekushauri zaid ya kukukashfu kwa upuuzi ulioufanya....Muhimu muombe kwanza Mungu akusamehee kwa kukijaribu kiumbe chake pia utuombe wana JF msamahaa, pia msichana uliyejaribu kumshikisha ukuta
 
Haikuwa dhamira yangu kufanya hivyo, nilitaka kujua anamsimamo wa namna gani.Kanimwaga jamani bado nampenda sana lakini ndo hanielewi.hadi marafiki zake nimemtumia lakini anawachomolea kwa matusi.
Wadau naombeni ushauri nifanye nini ili arudi?
Ukome, safi sana. Kwani matumizi ya hilo shimo ndio hayo. Ulaaniwe kabisa. Huyo mwanamke ana akili sana. I wish ningemjua nimpe zawadi. Toa tundu lako kwani huna wewe
 
Hivi hii laana mbona hamuiogopi kabisa sababu ukizoea hiyo michezo ni jinsia zote wanazo, kesho utataka na ya juma ina radha gani.

Mungu aturehemu sisi na kizazi chetu.
 
Haikuwa dhamira yangu kufanya hivyo, nilitaka kujua anamsimamo wa namna gani.Kanimwaga jamani bado nampenda sana lakini ndo hanielewi.hadi marafiki zake nimemtumia lakini anawachomolea kwa matusi.
Wadau naombeni ushauri nifanye nini ili arudi?
Sumu haionjwi..safi sana ningekua namjua hyo mwanamke ningemuoa maana hapendi upumbavu . Coz huna akili na ukiendeleza kila siku utaachwa...
 
Back
Top Bottom