Oa wote uishi nao nyumba moja
Imani yake ni ipi?
Aoe kama Dr.Mwaka.
Swali la kijinga sana hili!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Muoe tu jamani ataumizwa sana, maana mara ya kwanza kaachwa tena ya pili umuache? Anaweza kuhisi kabebeshwa dunia nzima peke yake... ww muoe hata uke wenza mpe huduma zake basimnanilaum mim je aliemkimbia mara ya kwanza??
Kwa mini alaumiwe mwanaume wakati mwanamke naye ni MTU mzima aliyeshiriki tendo huku akijua matokeo yake.Mnasababisha wanawake wadharaurike sababu ya mihemko yenu wajinga wachache, hapo unatengeneza picha gani mbele ebu chukulia tu iwe binti yako kafanyiwa hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app