Ushauri ndugu zangu.


Hata mbayuwayu aliosema JK wanaweza wakajibu hili swali sembuse wewe binadamu
 
Kwa hiyo unaomba Ushauri? Kwani wee ofa ya kuwa mume mdogo huitaki? Subiri utambulisho mwingine unafuata
 
sijauliza kwasababu nina hasira na hua nakwepa sana kufanya maamuzi katika kipindi ambacho nakua nimekasilika na si kigezo cha kufanikisha yale ya ndugu.

hujauliza, hujaongea nae unataka umfanye nin? Au ndo kgezo cha kufanksha ya nduguzo?
 
Yawezekana jamaa anakula au akawa anajazwa kichwa.
wambulu wana udhaifu wa kutolizika?

kwa hiyo hutaki kuamini kuwa jamaa anakula au? mi ndomana wambulu nawala na kuchapa lapa ....hawaridhiki
 
Nafikiri kuachana sio suruhisho.. tayari nimedumu nae katika uchumba kwa miaka 4, tulikua tumeanza mipango ya ndoa.

Mh! Hii stori tata, mwanamke akuonyeshe njemba lake lingine! Lazima kakugonga dawa mwana husikii wala huoni, na inaonyesha lazima utarudi kwake tu! Ila huyo demu lazima awe mrembo kinoma, msomali na mbulu! Mwe usimuache mkuu!
 
Kuachana ghafla ghafla haito niletea picha nzuri, kwao wananifahamu kwetu ingawa walikua wana nipinga kua nae wana mfahamu pia, na jamaa wana mfahamu

 
dah! sasa Je huyo hawara yako alipanga mkutane na hawara yake mwingine au imetokea tu...
 
Nimeishi kwa mda wa miaka minne, na mfahamu zaidi ya miaka sita. Kwao nawafahamu mimi pia kwetu anawafahamu.
Mkuu wanafahamiana na hilo halina ubishi
Mwana mke aliniomba tuondoke.
Nimeshindwa kuchukua maamuzi kwasababu bado nina hasira sana naweza nikachukua uamuzi na mie baadae uka nigharimu. Mbaya zaidi kuna watu wana subili niachane nae waanze kunisema. yani wajidai walikua watabili wa mapenzi yetu.

 

Kabaang vipi unampa? Maana it might be the one service missing
 
Wewe sasa unataka stress. Wambulu hawatanii kwenye masuala nyeti kama hayo. Jamaa anakula.
 
Kabaang vipi unampa? Maana it might be the one service missing

mi huwa najiuliza wazee hivi ni kweli hawa watoto wa siku izi wanapenda sana kabaang au unipe technique kiongozi mana kuna siku nilikuwa na demu wangu tu wa kuzugia (yani sio yule nayemchukulia wife) basi nikaomba kabaang dah mzee nilitolewa mkuku kama kibaka aliyekwapua simu ilikuwa ninyimwe na mechi zijazo ila tu utuuzima ukatumiika ndo mpaka leo tuko sawa ...
 
Yawezekana jamaa anakula au akawa anajazwa kichwa.
wambulu wana udhaifu wa kutolizika?

anajazwa kichwa ? wakati mtu ka mind kwa nini ye mume mdogo manake na yeye alikuwa anajua yuko peke yake na huo ndo uanaume sio wewe kuwa mpole wakati demu anakuona ---- mind unyesha roho inakuuma kumnunulia mtu kuku alafu anakuzingu kama hivyo kuwa mwanaume wa kweli mzee na hilo kabila linaudhaifu huo aise...yani tena kama we ni wa kabila tofauti jua kabisa lazima atakuwa na jamaa wa kabila lake yani sijui wakoje ..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…