chakula cha watoto
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 539
- 1,541
- Thread starter
- #21
WwHovyo kweli
WwHovyo kweli
😀😀Ungemjibu Kuna mchongo nausikiliziaKuna madingi hawaoni noma kukuchana
Siku moja nimempigia simu dingi, ile tumemaliza maongezi akasema
" Hivi hadi leo unalala peke yako"
niliona noma sana jioni ile