Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 288
- 283
Mimi ni muhitimu wa bachelor degree of Political Science with Education. Miaka minne baada ya kumaliza tuu chuo nilipata kazi katika kiwanda cha biscuits kama supervisor. Ila kiwanda hicho sasa kimefungwa hivi majuzi.
Kwa sasa sina kazi, ila nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa kuna ajira za walimu zinakaribia kuachiwa hivi karibuni.
Je, na mimi mwenye hii degree ya Bachelor of Political Science with Education nitaruhusiwa kutuma maombi kama mwalimu? Maana kuna mtu kaniambia Tume ya Utumishi ya Walimu(TSC) hawanitambui kama mwalimu. Je, hili lina ukweli wakuu. Naombeni muongozo.