PastorA JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 361 Reaction score 275 Jan 10, 2017 #1 Wataalam wa kilimo na masoko hodi himu ndani, nauliza jaman na kuomba ushauri pia kwa sasa kuanzia mwezi huu wa Kwanza naweza kulima zao gani? Hususan kwa kumwagilia? Naomba mchango wa mawazo nikipata na sehem nitafurahi Karibuni wazoefu
Wataalam wa kilimo na masoko hodi himu ndani, nauliza jaman na kuomba ushauri pia kwa sasa kuanzia mwezi huu wa Kwanza naweza kulima zao gani? Hususan kwa kumwagilia? Naomba mchango wa mawazo nikipata na sehem nitafurahi Karibuni wazoefu
Me I and my self JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,084 Reaction score 8,861 Jan 10, 2017 #2 Lima mirungu uize kenya au somalia itakutoa