America,UK,Australia na Canada Palo bakia bora ubaki bongo kuliko kwengineko. Ushauri 2Msaada wakuu,
Bongo kwangu tafrani,
Nimetumia kila njia kufanikiwa na kujituma sana katika maisha ya hapa Tanzania na sijafanikiwa.
Kama kusoma nina Diploma IT,
Kama biashara nishafanya bila mafanikio.
Nimeona nitafute nchi nyingine nihamie,
Niko tayari kufanya kazi yoyote huko.
Ushauri wenu wakuu niende nchi gani Ulaya ambapo ndoto zangu nitazifanikisha.
Sina familia,nina miaka 22.[/QUOTE]Jibu swari unafamilia?
Yaani miaka 22 ndio unasema umeshaangaika sana kutafuta maisha ikiwemo kufanya biashara mambo yakagoma.Sina familia,nina miaka 22.
Yaani miaka 22 ndio unasema umeshaangaika sana kutafuta maisha ikiwemo kufanya biashara mambo yakagoma.Sina familia,nina miaka 22.
nipo bongo kaka ila kuna watu najuana nao wapo huko wanasoma....mkuu unaishi Germany?