Ushauri:Nataka nifanye biashara ya makoti ya Leather

Ushauri:Nataka nifanye biashara ya makoti ya Leather

Shobi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
3,401
Reaction score
4,371
Moja kwa moja kwenye mada.

Nimefikiria nikaona makoti ya leather ni mojawapo ya vitu vinavyoheshimiwa na watu hasa wa ile kanda yetu.

Hivyo naombeni ushauri wenu kuhusu upatikanaji wake(machimbo), uhitaji wake na kwenye soko..

Nikipata mzoefu wa hii bidhaa anishirikishe uzoefu wake itasaidia sana..

Asante sana
 
Makoti ya leather siku hizi hayapendwi watu wanavaa casual tu, afadhali ungesema vikoti vya suti vya kike na ukaviuze maeneo ya Iringa au mbeya kwenye vyuo
 
Back
Top Bottom