sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Hahahaaa naona unataka kuwachefua watu ulivyomtaja mzee wa tuzo a.k.a Mr. Domo
Dah, mkuu mimi hizo habari za shirki sizijui na wala sijawahi kushiriki.Hapana simaanishi hivyo... Kama una ushauri please, please nijalie..
Dah, mkuu mimi hizo habari za shirki sizijui na wala sijawahi kushiriki.
Ni haramu kwa imani yangu mkuu.teh teh shiriki tu.
Duh kuna babu mmoja yupo kule Sumbawanga, ni hatari balaa