Ushauri: Nataka kuzamia meli niende Ughaibuni

Ushauri: Nataka kuzamia meli niende Ughaibuni

Haaa haaaa.Magu legezaaaaa.we Baba hali sio watu wanaanza kuwaza kujitoa mhanga.Anyway upo baharini upande gani walau nikuletee vichips??
Heheheheh we jamaa, acha tu!
 
Nipo forodhani hapa napunga upepo mida hii, nimetafuta sijapata bado njaa yaniuma hatari, ghafla naona meli inang'oa nanga.

Wakuu, nataka, nizamie meli niende mbali tuu nisikokujua nikutane na watu nisiowajua nijaribu bahati yangu huko ila sijui ninazamajezamaje melini.

Kwa walio wahi fanya hili jambo nipeni mbinu ili nisikamatwe mana nasikia ukikamatwa unafungwa jiwe zito unatupwa baharini.

-Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza wimbo wa vijana jazz wa miaka ya 80 kabla hujazamia. Ngapulila
 
Wakikushika utakuwa mke wao humo melini yan utapigwa mtungo mpaka utajuta kwnn ulizamia
 
aisee
tutakuokota kwenye mifuko ya mahindi
 
hawanag huruma,wakikupata wanakutupa baharini.
 
Kabla hujasafiri tafuta movie moja inaitwa DEADLY VOYAGE uiangalie
6af4a18f2b92bf45913e5a7f56731884.jpg
 
Ni kweli maisha kule ni mazuri ila sababu za kwenda ndio zinatofautiana zamani ilikua maisha saa hii ni usalama wa maisha coz of vita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom