Ushauri: Nataka kuzamia meli niende Ughaibuni

Ushauri: Nataka kuzamia meli niende Ughaibuni

babadullah

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
508
Reaction score
320
Nipo Forodhani hapa Zanzibar napunga upepo mida hii. Nimetafuta sijapata bado, njaa yaniuma hatari, ghafla naona meli inang'oa nanga.

Wakuu, nataka nizamie meli niende mbali tuu nisikokujua nikutane na watu nisiowajua nijaribu bahati yangu huko ila sijui ninazamajezamaje melini.

Kwa waliowahi fanya hili jambo nipeni mbinu ili nisikamatwe maana nasikia ukikamatwa unafungwa jiwe zito unatupwa baharini.

-Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dash aisee . pole Mkuu safar njema hko uendakoo. Tunabak tunaisomaa nambaa hpaa mjn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom