Habari wakuu,
Naomba mnisaidie ushauri,
Nina nywele ndefu tu ila nilikuwa naweka dawa ya kawaida aina ya movit na sasa nina kama miezi mi 4 sijaweka dawa nywele zimekuwa kama hazikuwa na dawa, nimechoka kuweka dawa nimeanza kutamani kuweka curly.
Je naweza kuweka curly?