Ushauri: Nataka kununua vifaa vya desktop

Nakushauri kwa sababu una weza ingia mtandaoni basi sechi

Kama top range speki zilizopo sasa, usome speki ya hizo topu renji na uanze kuona unajipangia za kivipi

Fanya risechi yako ukinunua ingine usijute

ahsante sana
 
machinga complex zipo za sandy bridge aka 2nd generation ambazo ni latest. wakati nakwenda i5 zilikuwa zimeisha ila machine ya i3 ni 350,000 bei ya kuanzia.

pia i3 kigame inahesabiwa kam core 4 sababu ina hyperthread ila sio powerfull kama i5.

pia kuwa makini epuka processor za 1st generation zote i3/i5 na i7 hazina nguvu sana.

Na kwa upande wa RAM(maswala ya ddr1,ddr2,ddr3...) na GPU(ambayo latest) je, kuna lolote napaswa kuzingatia ninapokwenda kununua?
 
processor na motherboard ndio vinachangia aina ya ram. ukipatia kwenye processor automatic na ram nayo itakuwa nzuri.

ddr2 mara ya mwisho ni 2008 kwenye hizi core 2 duo na core 2 quad ila toka zianze kutoka hizi processor za i3, i5 na i7 ram zinazotumika ni ddr3.

hivyo ram isikupe shida ukichukua cpu nzuri kama i3 au i5 unayotaka itakuwa na ram nzuri.

kuhusu gpu angalia zaidi power supply, jinsi inavyokuwa ndogo ndio jinsi utakavyopata gpu chache zinazokubali hio power supply.

atleast hakikisha power supply ni watts 300.
 
kuhusu gpu naweza kujuaje kama inaendana na power supply. je natizama ubora wa gpu na wingi wa watts? au kuna njia nyingine.
 
Watts angalia specification zake online, kila gpu ina requirement ya powersupply ukigoogle tu zinapatikana kirahisi online au cheki hapa

PSU REQUIREMENTS - RealHardTechX

Sema pia ikipungua kidogo haina neno.

Ubora wa gpu unaangalia mambo mengi ila kikubwa zaidi make sure ni gddr5, angalia bandwitch na clock speed.

Ila kwa nvidia njia rahisi ni kuangalia namba ya pili, jinsi ilivyo kubwa ndio gpu ilivyo nzuri kwa generation yake
 
ahsante nitatumia njia ya kuangalia namba ya pili. vipi namba ya kwanza kabisa huwakilisha generation au inawekwa kutulisha jambo gani?
 
nvidia gtx
740
750
760
780

hapo zote ni version/generation ya 7 ila namba ya pili inaonesha power ya hio gpu. 740 ni ndogo compare na 780
 
kwenye gpu ushanielimisha. hiyo ni timu ya nvidia vp kuhusu watengenezaji wengine?
 
mkuu Chief-Mkwawa mi ngoja nikusanye kama 500k hivi? Mtaa wa Agrey pale k/koo kuna Notebook/Netbook niliziona moja ya Samsung nyingine nimeisahau jina. Zinauzwa 450k. Siku nyingine nikienda ntaangalia na Model namba kisha uichambue kama itafaa kwa shughuli za kuflash simu maana kilichonivutia ni vidogo japo havina CD/DVD ROM sio mbaya kwa upande wangu naweza nunua hata external. Swali langu je, niangalie specs zipi kwa notebook maana napenda yenye speed yenye SSD inaweza kuwa sh. Ngapi? Maana budget yangu ni 450k-600k
 
Last edited by a moderator:

juzi kuna duka magomeni nilipita ana ssd ila hata hazijui kazi yake anaziuza kwa bei maelewano ila unaweza mshusha hadi elfu 80 au 70. anazo sata na msata pia.

ukipata laptop inayosuport msata itakuwa vizuri zaidi sababu utaweza kueka hdd yako na pia utumie ssd.
 
Last edited by a moderator:
kwenye gpu ushanielimisha. hiyo ni timu ya nvidia vp kuhusu watengenezaji wengine?

watengenezaji wengine ni amd ila kutokana na uhaba wa power supply kaa nao mbali sababu gpu zao zinakunywa sana umeme.

nao pia ni kama nvidia angalia namba ya pili
 
juzi kuna duka magomeni nilipita ana ssd ila hata hazijui kazi yake anaziuza kwa bei maelewano ila unaweza mshusha hadi elfu 80 au 70. anazo sata na msata pia.

ukipata laptop inayosuport msata itakuwa vizuri zaidi sababu utaweza kueka hdd yako na pia utumie ssd.

mkuu Chief-Mkwawa unamaanisha ni Solid State Drive? Naomba unielekeze hilo duka tafadhari nahitaji ya 128GB
 
Last edited by a moderator:
Kwa mwenye uhitaji nina HP Compaq 8200 Elite Convertible Minitower ambayo nlinunua kariakoo na nmekuwa nkiitumia kwa matumizi ya nyumbani(risiti ipo) nmenunua mashine mpya hii inatafta makazi mapya
 
Wadau Mimi naomba msaada ...nahitaji laptop kwaajiri ya video editing , gaming , na matumizi mengine ya kawaida . Je! Ipi itanifaa? Sina uzoefu wowote na computer sijawai kumiliki yaani ndo nataka nianze kujifunza ..Asante.
 
budget
 
Back
Top Bottom