processor na ram huwezi badili hadi uangalie motherboard yako.Ahsante sana kwa kunipa mwanga CHIEF MKWAWA at least najua pa kuanzia ila kitu kama processor ya quad core na ram 8gb nanunua wapi?
Huu Uzi nilikuwa nataka sana mfano mim nataka kununua PC yenye uwezo wakufunguwa tab 3 kwa mara moja alafu ziwe loaded at the same tym nahitaji deskotop yenye specs gani,Mana ni Laptop Core i3 lakin nikifungua tabu 3 yani naweza kaa dakika 4 mashine imestack nimechange power plan kidog ina unafuu lakin badoo nataka kali zaid ya hapa sasa
CC Chief-Mkwawa
tab za browser? browser nyingi zinatumia core 1 tu hata utafute i7 haina maana.
cha muhimu hapo tujue unatumia i3 ipi na una ram gb ngap?
nenda my computer halafu right click then properties kujua.
pia umeeka driver za gpu? sometime kuna vitu gpu ndio inavi accelerate hivyo kama gpu haina driver hapo huwenda ndio panapozingua.
nenda device manager halafu kwenye gpu angalia kama ni standard vga driver au kuna jina la gpu
Ni vizuri kuangalia unayohitaji kwa matumizi yako kabla ya kununua.
Lazima uliona bei poa ukazani umesevu kumbe umerudi nyuma sana.
Ungejiwekra pesa ukaongeza ma kununua yenye speki unazotaka
Processor natumia Core i3 3717U RAM ni 4GB na kuhusu Driver GPU hakuna mkuu wala ilo neno halipo kabisa mkuu
mkuu Chief-Mkwawa kwa maelezo uliyonipa na jinsi nilivyotafakari nimeamua huu mpango wa ku-upgrade hii desktop niliyonayo niachane nao.
Sasa mpango mpya ni kununua latest technology desktop(matoleo ya karibuni) ili niweze kupata yenye uwezo mzuri(yaani 4GB na intel i5 quad core) na ambayo nitai-upgrade kirahisi.
Sasa naomba tena unishauri hizi nazipata wapi hapa dar?(maana zilizo kaliakoo zote za kitambo)
na budget inaweza dondokea wapi?
angalia vizuri hio processor, i3 ya laptop namba ya pili haiwezi kuwa 7 inakuwa 0 au 1.
na ukienda device manager angalia tu graphics hilo neno driver halipo
Chief inabidi kufanya nini kujuA kwamba processor hii ni generation gani na hizo generations zipo ngapimachinga complex zipo za sandy bridge aka 2nd generation ambazo ni latest. wakati nakwenda i5 zilikuwa zimeisha ila machine ya i3 ni 350,000 bei ya kuanzia.
pia i3 kigame inahesabiwa kam core 4 sababu ina hyperthread ila sio powerfull kama i5.
pia kuwa makini epuka processor za 1st generation zote i3/i5 na i7 hazina nguvu sana.
?6?7Sory mkuu ni 3217U mkuu
though single thread yake haina nguvu sana ila tab 3 inatakiwa ziload kiurahisi kabisa, mimi laptop yangu nnayotumia kila siku haina nguvu kama yako lakini inafungua hata tab 8 kiurahisi.
cheki na driver, jaribu kubadili browser nyengine au pia angalia internet maybe ipo slow
pia ukiwa unabrowse na ipo slow fungua task manager halafu nenda resource monitor angalia cpu, ram na hard disk kipi kimejaa full? sometime inaweza kuwa processor iba nguvu na ram kubwa ila hard disk ipo slow inazidiwa.
Chief inabidi kufanya nini kujuA kwamba processor hii ni generation gani na hizo generations zipo ngapi
Sasa Hapa mkuu wakati wa kununua unanishauri nichukua yenye uwezo gani nisi experence ttz kama hili tena mana unakuta napoteza mda mwingi kusubiri kitu moja kifunguke
fanya hio analysis ya task manager kwanza, ila for sure ukieka ssd itakua fast hio computer sema ndio bei za ssd ni kubwa na gb ni chache