Ushauri: Nataka kununua vifaa vya desktop

Ushauri: Nataka kununua vifaa vya desktop

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Habari zenu wakuu.

Nimenunua desktop ya dell na naitumia, ila kutokana na specs ndogo (yaani ram 2 GB, 2ghz processor) nakua nashindwa kurun software ambazo zina uhitaji mkubwa sana kama fifa 16, call of duty advanced walfare na software nyingine ambazo nazitumia kwa EDITING.

Nimekuja kwenu kuomba ushauri je, ninunue processor, video card na RAM nyingine?(RAM ukubwa wa 8GB na processor Quad core i5 na video card ya nvidia) na vifaa hivi vinauzwa wapi??? na je nikifanikiwa kuvinunua inawezekana kupachika kwenye hii desktop?

Ushauri wenu ni muhim wakuu.
 
huwezi, hadi uwe na motherboard inayosuport i5. inshort hapo una case tu sababu hata ram zako huwenda ni ddr2.

ushauri andaa kuanzia laki 3 kanunue desktop machinga complex za i3/i5 second generation. aina yake itaanziwa na 2 mfano
i3 2100
i5 2400
i5 2500

sandy bridge bado ipo vizuri utaweza cheza games almost zote.

na gpu ya ukweli andaa kama 250,000 ununue nvidia gtx 750 ti, hii ndio gpu ya ukweli unayoweza kupair na power supply zinazokuja na pc

ila pia unaweza kucheza na igp ya sandybridge kwa low quality bila kununua gpu kwenye hio pc yako.

pia ukiwa na sandybridge i3 badae utaweza upgrade kwenda i7 2600 hivyo kuwa na pc itakayohimili miaka hata 5 mbele
 
Ahsante sana kwa kunipa mwanga CHIEF MKWAWA at least najua pa kuanzia ila kitu kama processor ya quad core na ram 8gb nanunua wapi?
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana kwa kunipa mwanga CHIEF MKWAWA at least najua pa kuanzia ila kitu kama processor ya quad core na ram 8gb nanunua wapi?
processor na ram huwezi badili hadi uangalie motherboard yako.

processor mtaa wa mosque na jamhuri kama sjakosea kuna duka zipo kuanzia elfu 50,000 kwa pentium hadi dola 300 na kitu kwa i7 ila ni haswell motherboard zake ni lga 1150.

ram zimejaa kibao almost maduka yote ya computer yanazo, hizi nazo kuna ddr2, ddr3 na ddr4 ambazo ni mpya. pia huwezi eka ddr4 kwenye motherboard inayokubali ddr3.

pia kama budget ni ndogo zipo desktop za core 2 quad kwa around 190,000 duka linaitwa cheap computers linaangalizana na kituo cha polisi msimbazi

na unapo upgrade computer angalia power suppy, ukieka gpu na cpu zikaizidi uwezo power supply basi kuna hatari itakufa hio power supply au kuunguza motherboard/pc
 
Last edited by a moderator:
Ni vizuri kuangalia unayohitaji kwa matumizi yako kabla ya kununua.

Lazima uliona bei poa ukazani umesevu kumbe umerudi nyuma sana.

Ungejiwekra pesa ukaongeza ma kununua yenye speki unazotaka
 
Huu Uzi nilikuwa nataka sana mfano mim nataka kununua PC yenye uwezo wakufunguwa tab 3 kwa mara moja alafu ziwe loaded at the same tym nahitaji deskotop yenye specs gani,Mana ni Laptop Core i3 lakin nikifungua tabu 3 yani naweza kaa dakika 4 mashine imestack nimechange power plan kidog ina unafuu lakin badoo nataka kali zaid ya hapa sasa

CC Chief-Mkwawa
 
tab za browser? browser nyingi zinatumia core 1 tu hata utafute i7 haina maana.

cha muhimu hapo tujue unatumia i3 ipi na una ram gb ngap?

nenda my computer halafu right click then properties kujua.

pia umeeka driver za gpu? sometime kuna vitu gpu ndio inavi accelerate hivyo kama gpu haina driver hapo huwenda ndio panapozingua.

nenda device manager halafu kwenye gpu angalia kama ni standard vga driver au kuna jina la gpu
 
Processor natumia Core i3 3717U RAM ni 4GB na kuhusu Driver GPU hakuna mkuu wala ilo neno halipo kabisa mkuu
 
Ni vizuri kuangalia unayohitaji kwa matumizi yako kabla ya kununua.

Lazima uliona bei poa ukazani umesevu kumbe umerudi nyuma sana.

Ungejiwekra pesa ukaongeza ma kununua yenye speki unazotaka

ni kweli mkuu mzurimie leo ndo nimegundua kumbe hizi za bei rahisi zakizamani sana
 
Last edited by a moderator:
Processor natumia Core i3 3717U RAM ni 4GB na kuhusu Driver GPU hakuna mkuu wala ilo neno halipo kabisa mkuu

angalia vizuri hio processor, i3 ya laptop namba ya pili haiwezi kuwa 7 inakuwa 0 au 1.

na ukienda device manager angalia tu graphics hilo neno driver halipo
 
mkuu Chief-Mkwawa kwa maelezo uliyonipa na jinsi nilivyotafakari nimeamua huu mpango wa ku-upgrade hii desktop niliyonayo niachane nao.

Sasa mpango mpya ni kununua latest technology desktop(matoleo ya karibuni) ili niweze kupata yenye uwezo mzuri(yaani 4GB+ na intel i5 quad core) na ambayo nitai-upgrade kirahisi.

Sasa naomba tena unishauri hizi nazipata wapi hapa dar?(maana zilizo kaliakoo zote za kitambo)
na budget inaweza dondokea wapi?
 
Last edited by a moderator:
mkuu Chief-Mkwawa kwa maelezo uliyonipa na jinsi nilivyotafakari nimeamua huu mpango wa ku-upgrade hii desktop niliyonayo niachane nao.

Sasa mpango mpya ni kununua latest technology desktop(matoleo ya karibuni) ili niweze kupata yenye uwezo mzuri(yaani 4GB na intel i5 quad core) na ambayo nitai-upgrade kirahisi.

Sasa naomba tena unishauri hizi nazipata wapi hapa dar?(maana zilizo kaliakoo zote za kitambo)
na budget inaweza dondokea wapi?

machinga complex zipo za sandy bridge aka 2nd generation ambazo ni latest. wakati nakwenda i5 zilikuwa zimeisha ila machine ya i3 ni 350,000 bei ya kuanzia.

pia i3 kigame inahesabiwa kam core 4 sababu ina hyperthread ila sio powerfull kama i5.

pia kuwa makini epuka processor za 1st generation zote i3/i5 na i7 hazina nguvu sana.
 
Last edited by a moderator:
angalia vizuri hio processor, i3 ya laptop namba ya pili haiwezi kuwa 7 inakuwa 0 au 1.

na ukienda device manager angalia tu graphics hilo neno driver halipo

​Sory mkuu ni 3217U mkuu
 
machinga complex zipo za sandy bridge aka 2nd generation ambazo ni latest. wakati nakwenda i5 zilikuwa zimeisha ila machine ya i3 ni 350,000 bei ya kuanzia.

pia i3 kigame inahesabiwa kam core 4 sababu ina hyperthread ila sio powerfull kama i5.

pia kuwa makini epuka processor za 1st generation zote i3/i5 na i7 hazina nguvu sana.
Chief inabidi kufanya nini kujuA kwamba processor hii ni generation gani na hizo generations zipo ngapi
 
?6?7Sory mkuu ni 3217U mkuu

though single thread yake haina nguvu sana ila tab 3 inatakiwa ziload kiurahisi kabisa, mimi laptop yangu nnayotumia kila siku haina nguvu kama yako lakini inafungua hata tab 8 kiurahisi.

cheki na driver, jaribu kubadili browser nyengine au pia angalia internet maybe ipo slow

pia ukiwa unabrowse na ipo slow fungua task manager halafu nenda resource monitor angalia cpu, ram na hard disk kipi kimejaa full? sometime inaweza kuwa processor iba nguvu na ram kubwa ila hard disk ipo slow inazidiwa.
 
Sasa Hapa mkuu wakati wa kununua unanishauri nichukua yenye uwezo gani nisi experence ttz kama hili tena mana unakuta napoteza mda mwingi kusubiri kitu moja kifunguke
 
Chief inabidi kufanya nini kujuA kwamba processor hii ni generation gani na hizo generations zipo ngapi

sasa hivi zipo generation 6
1st gen - westmere
2nd gen -sandy bridge
3rd gen - ivy bridge
4th gen- haswell
5th gen- broadwell
6th gen- skylake

jinsi unavyopanda generation ndio jinsi processor inavyokuwa na nguvu na ndio jinsi inavyotumia umeme kidogo.

mfano kwenye broadwell na skylake kuna processor zinatumia watts 4 tu (taa ya mshumaa watts 20)

kujua generation ya processor angalia namba ya kwanza

mfano hii ni i5 kila generation
-i5 550 hii 1st
-i5 2500 hii 2nd
-i5 3500 hii 3rd
-i5 4500 hii 4th
-i5 5500 hii 5th
-i5 6500 hii 6th

1st generation jina la processor lina namba tatu na kuanzia 2nd generation hadi 6th generation namba ya kuanzia ndio generation
 
Sasa Hapa mkuu wakati wa kununua unanishauri nichukua yenye uwezo gani nisi experence ttz kama hili tena mana unakuta napoteza mda mwingi kusubiri kitu moja kifunguke

fanya hio analysis ya task manager kwanza, ila for sure ukieka ssd itakua fast hio computer sema ndio bei za ssd ni kubwa na gb ni chache
 
Nakushauri kwa sababu una weza ingia mtandaoni basi sechi

Kama top range speki zilizopo sasa, usome speki ya hizo topu renji na uanze kuona unajipangia za kivipi

Fanya risechi yako ukinunua ingine usijute
 
Back
Top Bottom