Usinunue bidada biashara ya noah ishaingia zengwe,sumatra kama sikosei wamezikataza kuendelea kubeba abiria zaidi ya km40,zile ambazo zinafanya kazi zaidi ya umbali huo trl zao zikiisha tu kwishnei inawalazimu wazisajili kwa root za umbali wa km40,so kama wewe root zako ni hzo,au utaifanya kama ni tours au ya kubebea watoto wa shule poa