Ushauri: Nataka kuhamia mkoa wa Mwanza

Ushauri: Nataka kuhamia mkoa wa Mwanza

Mdau,

Nataka kuhamia mkoa wa Mwanza, hasa maeneo ya mjini. Ni shule gani ya sekondari ungenishauri nihamie?

Nahitaji pia kujiongezea kipato kwa kuangalia furusa zitakazokuwepo.
Mwanza ulikuwa ni mji mzuri kwenye utafutaji... magufuri aliacha ameharibu
 
Mdau,

Nataka kuhamia mkoa wa Mwanza, hasa maeneo ya mjini. Ni shule gani ya sekondari ungenishauri nihamie?

Nahitaji pia kujiongezea kipato kwa kuangalia furusa zitakazokuwepo.
Shemtemba Night Club Secondary School!
 
Kasome Pamba secondary kwa O level wapo vizuri zaidi ya Mwanza secondary. Hizo ni takwimu za miaka mitatu mfululizo
 
Back
Top Bottom