Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 274
- 170
We oaga tu kama umeona una uwezo wa kutunza familia, vinginvyo utazini na unaahirisha matatizo, ukioa mapema utapata watoto mapema na kupata muda mzuri wa kuwatunza, pia utazeeka sawa na wanao.21 miaka bado mdogo kuoa kwa usawa wa maisha ya sasa ,ungefikisha walau 27 na kuendelea. Kwa sasa jiimarishe kimaendeleo ili ukija kuoa umudu uendeshaji wa familia si lelemama
Mi babu nduguWe oaga tu kama umeona una uwezo wa kutunza familia, vinginvyo utazini na unaahirisha matatizo, ukioa mapema utapata watoto mapema na kupata muda mzuri wa kuwatunza, pia utazeeka sawa na wanao.
Oa tu hamna tabuVipi mambo,
Hawa wanachuo wenye kuvaa vizuri si wanafaa kabisa kwa ndoa? Maana nimeona kuna baadhi watulivu kweli yani, vipi nichumbie au nikaushe maana mimi sio muongo muongo nataka nioe kabisa, but am 21 yrz old.
Nakimbia uzinifu,cunajua pepo inatafutwa..Oa tu hamna tabu
21 kwanza una miliki nini ndugu hadi kwa umri uharakie kuoa
Na unae muoa atakuwa na 14[emoji124]️️️ sasa au ?[emoji125][emoji125]
Kama unauwezo wa kutunza familia katika mahitaji yote oa
Kachumbie tu!!!
We kurupuka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi babu ndugu
We oaga tu kama umeona una uwezo wa kutunza familia, vinginvyo utazini na unaahirisha matatizo, ukioa mapema utapata watoto mapema na kupata muda mzuri wa kuwatunza, pia utazeeka sawa na wanao.
21 miaka bado mdogo kuoa kwa usawa wa maisha ya sasa ,ungefikisha walau 27 na kuendelea. Kwa sasa jiimarishe kimaendeleo ili ukija kuoa umudu uendeshaji wa familia si lelemama
Kila la kheri nduguNakimbia uzinifu,cunajua pepo inatafutwa..
Kweli kk..cha msingi ni kumchunguza km anaeleweka tu ili usije jutiaNakimbia uzinifu,cunajua pepo inatafutwa..
She is about 20..Huyo mtu wako ana umri gani.?
Oa kijana. Ila we ni mdogo kwangu japo mimi hata bado sijaanza kufikiria kuoa.She is about 20..