Ushauri nasaha

Ushauri nasaha

Bukayo jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
2,782
Reaction score
1,647
Hahahahahaaaaaaa, daaaaaaah, kwanza nicheke kwanza.... Duuuh!!!!
Nimeisoma barua hii kwenye gazeti moja jamaa anaomba ushauri, kaandika hivi;

Shangazi May,

Tafadhali nipe ushauri katika hili tatizo langu.
Mi nadhani mke wangu si muaminifu, anafanya kazi katikati ya jiji,
huwa anachelewa kurudi nyumbani na kila siku anarudi na taxi,
wiki iliyopita nilijaribu kugusa simu yake alikuwa mkali kwel kweli.

Ni kweli sijawahi kumuuliza kuhusu wasiwasi wangu,
lakini jana niliamua kumfuatilia wakati anatoka kazini,
nikajificha mahala ambapo nitamuona anapotoka kazini...

Kweli nikamuona anatoka na mwanaume mmoja simfahamu,
nikaona niangalie saa ili nijue ni saa ngapi walitoka,
si ndio nikagundua saa yangu imesimama...

Saa hii ni Rolex Oyster Gold, na ni expensive sana, nilinunua kama dola 750 marekani,
sasa unanishauri niitengeze hapa hapa nchini au ninunue nyingine tena Marekani?!?

Wako katika ushauri nasaha,

Ndoskolokocho
 
"Cjaelewa mkulu"
 
Hahahahahahahaaaaaaahaahhaahahahahahahahahahahahahahahahahaahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahahahahahahahaaaaaaa,teh teh teh teh teh,duh mbavu zangu nusu zichomoke...shangazi alihisi anaombwa ushauri kuhusu mke wake kumbe kitu rolex ndio kinamchanganya zaidi..
 
tupa, halafu nunua ya mchina. elfu kumi tu t/sh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom