Habarini wadau,
Nimekuwa mhanga wa hii kasumba ya kupenda sana wajawazito yani nikiona mjamzito naweza ahirisha safari na kumpa lifti mpaka anapokwenda afike. mbaya zaidi, natokea kuvutiwa nao kimapenzi, na kuwatongoza.
Kuna mmoja alinishangaa namtongoza vipi wakati ana mimba yaani alinikubalia huku akilia, na kusema toka amepewa mimba hajawahi kufanya mapenzi, coz aliyempa mimba alimkimbia. Mpaka leo nipo naye, soon anajifungua, na watu wanajua ni mimba yangu.
Nipo njia panda maana, akijifungua hanioni tena.